iqna

IQNA

Bibi Fatima
IQNA - Kituo cha Kiislamu cha Uingereza kitaandaa sherehe kusherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Bintiye Mtume Muhammad (SAW), Bibi Fatima Zahra (SA).
Habari ID: 3478123    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/31

Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
IQNA- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kislamu mapema leo amehutubia maelfu ya wanawake na wasichana ambako amebainisha mtazamo wa kimantiki wa Uislamu kuhusu nafasi ya wanawake katika familia na shughuli kijamii, siasa na uongozi katika ngazi mbalimbali.
Habari ID: 3478103    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/27

Ahul Bayt wa Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameshiriki kikao cha maombolezo ya kukumbuka siku aliyokufa shahidi Bibi Fatima tu-Zahra (SA), binti kipenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW na mke wa Amirul Muuminin Ali bin Abi Talib (AS), Imamu wa kwanza wa Waislamu wa madhehebu ya Shia.
Habari ID: 3476312    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/27